Sponsor


Wednesday, 21 December 2016

WADAU KUCHAMBUA SEKTA YA AFYA, ELIMU NA KILIMO KWA KULINGANISHA NA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU

0 comments
Mhadhiri Chuo Kikuu cha Muhimbi, Dk. Ave Maria Semakafu akichokoza mada ili wadau mbalimbali kujadili  juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia. Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Kampala(KIU)  akiwasilisha mada kuhusu upatikanaji wa maji na changamoto wanazozipata...
Endelea Kusoma >>

Tuesday, 23 February 2016

TAZAMA KURASA LEO NA ELIKUNDA MATERU

0 comments
...
Endelea Kusoma >>

Tuesday, 6 May 2014

KITUO KIPYA CHA REDIO DAR

0 comments
Picha: Kituo kipya cha radio cha burudani 93.7 chajiandaa kuingia kwenye ushindani wa radio za Dar 93.7 ni masafa ya kituo kipya cha radio cha jijini Dar es Salaam kinachotarajiwa kuanza kurusha matangazo yake hivi karibuni. Kituo hicho kinachomilikiwa na kampuni ya E-Masters (kampuni inayomiliki kumbi za Maisha Club), kipo maeneo ya Kawe...
Endelea Kusoma >>

Thursday, 8 November 2012

LANDTECH SOLUTION FOR HIGH QUALITY AND AFFORDABLE SOLUTIONS FOR LAND

0 comments
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...
Endelea Kusoma >>

Wednesday, 12 October 2011

SHERIA YA MIRATHI YA TANZANIA

0 comments
SHERIA YA MIRATHI YA TANZANIA SHERIA YA USIMAMIZI WA MIRATHI SURA YA 352 YA SHERIA ZA TANZANIA 1. SHERIA HII INASHUGHULIKA NA MAMBO YAPI NA INA LENGO GANI HASA? Lengo kuu la sheria hii ni kutoa utaratibu wa kusimamia mali za marehemu baada ya kifo chake ikiwamo kuhamisha umiliki wa mali hizo kutoka kwa marehemu kwenda kwa watu wenye haki...
Endelea Kusoma >>

Saturday, 8 October 2011

SABABU ZA KUKOROMA NA JINSI YA KUPUNGUZA HALI HIYO

0 comments
Kukoroma ni tatizo linalowapata watu wengi wakati wanapolala ambalo linaweza kuwatokea watu wa kila umri ingawa hutokea mara nyingi kwa wanaume au watu wanene. Kukoroma huzidi kwa kadri umri unavyoongezeka na asilimia 54 ya watu wazima hukoroma baadhi ya wakati huku asilimia 25 ya wengine wakiwa na tabia ya kukoroma kila wakati. Kukoroma...
Endelea Kusoma >>

TATIZO LA KUKOSA CHOO KWA WATOTO WADOGO

0 comments
Tatizo la kukosa choo watoto wadogo au kuwa na choo kigumu na jinsi ya kulitatua Watoto wadogo hasa wale ambao bado wananyonya na ndio kwanza wamenzishwa vyakula vinginevyo zaidi ya maziwa, mara nyingi hupatwa na choo kigumu au kukosa choo kabisa hali tunayoiita kimombo, constipation. Hali hiyo huanza pale mtoto anapoachishwa maziwa ya mama...
Endelea Kusoma >>

Thursday, 6 October 2011

Steve Jobs, Apple Visionary Died at 56

0 comments
Steven Paul "Steve" Jobs who was born on February 24, 1955 – October 5, 2011) was an American computer entrepreneur and inventor. He was co-founder, chairman, and chief executive officer of Apple Inc.Jobs also previously served as chief executive of Pixar Animation Studios; he became a member of the board of directors of The Walt Disney...
Endelea Kusoma >>
 
MATERUNI TANZANIA © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by Mkami Jr.
imagem-logoRudi Juu