Sponsor


Tuesday, 6 May 2014

KITUO KIPYA CHA REDIO DAR

0 comments
Picha: Kituo kipya cha radio cha burudani 93.7 chajiandaa kuingia kwenye ushindani wa radio za Dar 93.7 ni masafa ya kituo kipya cha radio cha jijini Dar es Salaam kinachotarajiwa kuanza kurusha matangazo yake hivi karibuni. Kituo hicho kinachomilikiwa na kampuni ya E-Masters (kampuni inayomiliki kumbi za Maisha Club), kipo maeneo ya Kawe Beach na tayari studio zake zimekamilika tayari kwa kuanza matangazo. Hizi ni picha za studio hiyo (Picha kutoka DJCHOKAMUSIC.COM)

20140311_164002
Endelea Kusoma >>
 
MATERUNI TANZANIA © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by Mkami Jr.
imagem-logoRudi Juu