
Picha: Kituo kipya cha radio cha burudani 93.7 chajiandaa kuingia kwenye ushindani wa radio za Dar 93.7 ni masafa ya kituo kipya cha radio cha jijini Dar es Salaam kinachotarajiwa kuanza kurusha matangazo yake hivi karibuni. Kituo hicho kinachomilikiwa na kampuni ya E-Masters (kampuni inayomiliki kumbi za Maisha Club), kipo maeneo ya Kawe...