Mhadhiri Chuo Kikuu cha Muhimbi, Dk. Ave Maria Semakafu akichokoza mada ili wadau mbalimbali kujadili juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia.
Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Kampala(KIU) akiwasilisha mada kuhusu upatikanaji wa maji na changamoto wanazozipata hasa maeneo ya vijijini.
Afisa Mipango kutoka Harmashauri ya Mbeya, Langson Nsusa akiwasilisha mada ya maji kwa wadau mbalimbali waliokutanishwa na TGNP Mtandao kujadili changamoto wanazozipata wanawake.
Ramadhani Jaffari akiwasilisha mada ya kilimo kwa wadau waliofika kujadili
Balozi Gertrude Mongella akichangia mada wakati wa majadiliano ya kujadili juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia.
Balozi Gertrude Mongella akichangia mada wakati wa majadiliano ya kujadili juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akichangia mada kwa wadau wa kutetea haki za mwanamke ili kujadili juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia.
Baadhi ya wadau wa kutetea haki za mwanamke wakichangia mada kuhusu Kilimo, Elimu na Maji ilikuwawezesha wanawake kukuza uchumi juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia.